Kiswahili
Akiwa na Silaha Chache, Daudi Atenda kwa Ujasiri
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/502016192/univ/art/502016192_univ_sqr_xl.jpg

MAZOEZI YA PICHA

Akiwa na Silaha Chache, Daudi Atenda kwa Ujasiri

Patanisha wahusika wa Biblia na vitu vinavyopatikana katika simulizi la Daudi na Goliathi, na kisha mzungumzie kwa nini Daudi alikuwa mwenye ujasiri sana.