Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Hungaria

  • Mto Danube, Budapest, Hungaria—Kutoa machapisho yanayotegemea Biblia

Taarifa Fupi—Hungaria

  • 9,597,000—Idadi
  • 21,332—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 283—Makutaniko
  • 1 kwa 453—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Bamba la Kuwakumbuka Mashahidi Waliouawa na Wanazi Lazinduliwa Nchini Hungaria

Bamba lazinduliwa jijini Budapest kwenye Kituo cha Makumbusho cha Yale Maangamizi Makubwa ya Wanazi ili kuwakumbuka Mashahidi wanne wa Yehova waliouawa kwa sababu ya kukataa kujiunga na jeshi wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu.