Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Barbados

Taarifa Fupi—Barbados

  • 288,000—Idadi
  • 2,350—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 30—Makutaniko
  • 1 kwa 126—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Upendo Waonyeshwa Kupitia Kazi ya Kutoa Msaada Visiwani

Video ya habari za karibuni kuhusu jitihada nyingi za Mashahidi wa Yehova waliojitolea kusaidia baada ya Vimbunga Irma na Maria.

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Waharakisha Jitihada za Kutoa Msaada

Ofisi za tawi za Mashahidi wa Yehova zinatoa ripoti kuhusu kazi inayoendelea ya kutoa msaada na faraja ya kiroho kwa wale walioathiriwa na Vimbunga Irma na Maria.