Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 53

Kujitayarisha Kuhubiri

Kujitayarisha Kuhubiri

(Yeremia 1:17)

  1. 1. Mapema,

    Asubuhi,

    Siku ya kuhubiri.

    Kungali giza,

    Na mvua yaanza.

    Twatamani kuendelea

    Kulala.

    (KORASI)

    Tutafanikiwa kwa sala,

    Na matayarisho;

    Nao mtazamo mzuri,

    Twahitaji.

    Malaika wanaongoza.

    Yesu wamtii.

    Bega kwa bega na wenzetu,

    Hatushindwi.

  2. 2. Furaha,

    Tutapata

    Tukikumbuka hili:

    Bidii yetu,

    Yehova aona.

    Upendo wetu akumbuka,

    Twajua.

    (KORASI)

    Tutafanikiwa kwa sala,

    Na matayarisho;

    Nao mtazamo mzuri,

    Twahitaji.

    Malaika wanaongoza.

    Yesu wamtii.

    Bega kwa bega na wenzetu,

    Hatushindwi.