AMKENI! Desemba 2013 | Je, Unaweza Kuamini Ripoti za Habari?
Watu wengi hutilia shaka mambo wanayosoma na kusikia katika vyombo vya habari. Jifunze kwa nini ni vizuri kujihadhari, huku ukiwa na mtazamo unaofaa kuhusu vyombo vya habari.
Kuutazama Ulimwengu
Habari kuhusu: Watu wanaotafuta kazi ambao wana kiwango cha juu sana cha masomo na ujuzi, magonjwa ya mfumo wa kupumua, watu wanaotembea barabarani wakiwa wamekengeushwa, na mengine mengi.
HABARI KUU
Je, Unaweza Kuamini Ripoti za Habari?
Soma jinsi unavyoweza kujua ikiwa habari unayosoma inaaminika.
NCHI NA WATU
Kutembelea Brazili
Ukubwa wa nchi ya Brazili ni karibu nusu ya eneo lote la Amerika Kusini. Soma kuhusu historia ya utamaduni mbalimbali wa Brazili.
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Jinsi ya Kumsikiliza Mwenzi Wako kwa Makini
Kusikiliza kwa makini si mbinu tu, bali ni tendo la upendo. Jifunze jinsi unavyoweza kuwa msikilizaji mzuri.
Kitendawili cha Kipepeo Anayeitwa Painted Lady
Kwa muda mrefu watu nchini Uingereza wamevutiwa na vipepeo hao maridadi. Hivi karibuni watafiti wamefahamu vipepeo hao huenda wapi.
Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2013
Fahirisi ya makala zote zilizochapishwa katika Amkeni! katika mwaka wa 2013 zikiwa zimeorodheshwa kulingana na habari.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Uwezo wa DNA wa Kuhifadhi Habari
DNA imesemekana kuwa “kifaa bora zaidi cha kuhifadhi habari.” Soma uone sababu.
Habari Zaidi Mtandaoni
Nifanye Nini Ikiwa Watu Wanaeneza Porojo Kunihusu?
Unaweza kufanya nini wengine wanapoeneza porojo kukuhusu ili porojo hiyo isikudhibiti au hata kukuchafulia jina?
Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kutuma Ujumbe Mchafu?
Je, kuna mtu anayekushinikiza umtumie ujumbe mchafu? Kuna madhara gani ya kutuma ujumbe mchafu? Je, ni tendo lisilo na madhara la kumchezea mtu mwingine kimapenzi?
Farao Amtukuza Yosefu
Kamilisha zoezi hili la picha na ujue ni kwa nini ilikuwa vigumu kwa ndugu za Yosefu kumtambua.