AMKENI! Juni 2013 | Je, Tunanunua Vitu Kupita Kiasi?

Katika mfululizo huu, ona jinsi ambavyo unaweza kuathiriwa na kununua vitu kupita kiasi na jinsi unavyoweza kudhibiti ununuzi wako.

Kuutazama Ulimwengu

Habari zinatia ndani: madhara ya moshi wa dizeli na dawa bandia za malaria zagunduliwa Afrika na Asia.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Jinsi ya Kukomesha Tabia ya Kunyamaziana

Inawezekanaje kwamba wenzi fulani wa ndoa wanafikia hatua ya kukataa kuzungumziana, nao wanaweza kufanya nini kusuluhisha tofauti zao?

MAONI YA BIBLIA

Shetani

Je, Shetani ni kiumbe halisi au ni uovu ulio ndani ya kila mtu?

HABARI KUU

Kwa Nini Sisi Hununua Vitu?

Why do so many people buy what they don’t really need? How can you protect yourself from becoming a victim of clever marketers?

HABARI KUU

Jinsi ya Kuepuka Kununua Vitu Kupita Kiasi

Fikiria madokezo sita yanayoweza kukusaidia kuepuka kununua vitu kupita kiasi.

NCHI NA WATU

Kutembelea Panama

Panama ni maarufu kwa sababu ya mfereji wake. Soma mengi kuhusu nchi hiyo na watu wanaokaa humo.

TUNAYOJIFUNZA KUTOKANA NA HISTORIA

Tangazo Katika Jina la Mungu

Tangazo linaloitwa el Requerimiento liliwapa wavamizi Wahispania uhuru wa kutenda kinyama. Je, Mungu anapaswa kulaumiwa?

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Kikono cha Nyangumi Mwenye Nundu

Ona jinsi ubuni wa kikono cha mnyama huyu mkubwa umeathiri sehemu fulani za maisha yako.

Habari Zaidi Mtandaoni

Je, Unahangaikia Sura Yako Kupita Kiasi?

Ikiwa una tatizo na sura yako, unaweza kupataje usawaziko?

Mke wa Loti Ageuzwa Kuwa Nguzo ya Chumvi

Soma masimulizi ya Biblia kisha uunganishe nukta. Unajifunza nini kutokana na mke wa Loti?