AMKENI! Februari 2013 | Kuhamia Nchi Nyingine—Matarajio na Mambo Halisi
Watu wanaohamia nchini nyingine wanakabili matatizo gani?
Kuutazama Ulimwengu
Pata habari kuhusu matukio ya karibuni na mambo yenye kupendeza kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni.
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Jinsi ya Kuacha Kugombana
Je, wewe na mwenzi wako mnagombana kila wakati? Jifunze jinsi kanuni za Biblia zinavyoweza kusaidia ndoa yako.
HABARI KUU
Kuhamia Nchi Nyingine—Matarajio na Mambo Halisi
Je, kuhamia nchi nyingine kutafanya familia yako iwe na maisha bora?
MAHOJIANO
Mbuni wa Roboti Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
Profesa Massimo Tistarelli anaeleza sababu iliyomfanya abadili maoni yake kuhusu mageuzi.
TUNAYOJIFUNZA KUTOKANA NA HISTORIA
Plato
Soma uone ni nini kilichofanya mawazo ya Plato yaingizwe katika mafundisho ya Kikristo.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Mkia wa Mjusi Anayeitwa Agama
Mjusi huyo anawezaje kuruka kutoka mahali tambarare hadi ukutani?
Habari Zaidi Mtandaoni
Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kutuma Ujumbe Mfupi?
Kutuma ujumbe mfupi kunaweza kuathiri urafiki wako pamoja na wengine na sifa yako. Ona hilo linawezakanaje.
Hadithi ya Yakobo na Esau
Soma kuhusu Yakobo na Esau, ndugu wawili waliojifunza kupatana.

