Sri Lanka
Mashahidi wa Yehova Nchini Sri Lanka
-
7,169—Idadi ya Mashahidi wa Yehova
-
86—Makutaniko
-
14,806—Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka
-
1 kwa 3,083—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini
-
21,763,000—Idadi ya watu
Sri Lanka Wafanya Kusanyiko Lao la Kwanza la Pekee
Maelfu ya Mashahidi wa Yehova kutoka nchi saba walijiunga na ndugu na dada zao nchini Sri Lanka kwa ajili ya kusanyiko la pekee, la kwanza nchini Sri Lanka.
Mashahidi Watoa Msaada Baada ya Mafuriko Nchini Sri Lanka
Mashahidi wa Yehova walitoa msaada baada ya msiba mkubwa zaidi kutokea nchini Sri Lanka tangu mwaka wa 2004.

