Kanada
Kielelezo cha Imani Katika Kambi za Kazi Ngumu Kanada
Miaka 75 imepita tangu ndugu zetu wapendwa walipoachiliwa na kutoka kwenye kambi za kazi ngumu nchini Kanada. Walifungwa kwa sababu ya dhamiri zao zilizozoezwa na Biblia.
Mahakama Kuu ya Kanada Yakataa Kuingilia Mpango wa Kutenga na Ushirika
Mahakama Kuu iliamua kwamba mpango wa Mashahidi wa kutenga na ushirika “hauchochewi na uadui, bali umekusudiwa kumsaidia mshiriki aendelee kuwa sehemu ya Kutaniko.”
Wenye Mamlaka Kaskazini mwa Kanada Washukuru Mashahidi wa Yehova kwa Kampeni ya Pekee ya Kutoa Elimu ya Biblia
Mashahidi wa Yehova walitembelea watu wanaoishi katika eneo mbali la Aklavik, Northwest Territories, upande wa magharibi hadi Kangiqsualujjuaq, Quebec, upande wa mashariki.

