“Yehova yuko karibu na wote wanaomwitia . . . Husikia kilio chao cha kuomba msaada, naye huwaokoa.”—Zaburi 145:18, 19.
Fikiria hili
-
Mungu ana jina.—Zaburi 83:18; Yeremia 10:10.
-
Mungu hutupatia mwongozo kupitia Neno lake.—2 Timotheo 3:16, 17.
-
Mungu anataka kutusaidia.—Zaburi 46:1.
Ili ujifunze mengi zaidi, tembelea tovuti ya jw.org/sw

