“Pata Furaha Tele Katika Yehova”
Asubuhi
-
3:40 Muziki
-
3:50 Wimbo Na. 7 na Sala
-
4:00 “Pata Furaha Tele Katika Yehova”—Jinsi Gani?
-
4:15 “Mwenye Furaha Ni Mtu Ambaye . . . Dhambi Yake Imesamehewa”
-
4:30 “Wenye Furaha Ni Wale Wanaokaa Katika Nyumba Yako!”
-
4:55 Wimbo Na. 37 na Matangazo
-
5:05 ‘Mwenye Furaha ni Mtu Anayemkimbilia Yehova’
-
5:35 Ubatizo: “Baba Yako Anayetazama Akiwa Mahali pa Siri Atakulipa”
-
6:05 Wimbo Na. 38
Alasiri
-
7:20 Muziki
-
7:30 Wimbo Na. 111
-
7:35 Mambo Yaliyoonwa
-
7:45 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:15 Mfululizo: Jinsi ya Kupata Furaha ya Kweli
-
• Ishi Maisha Rahisi
-
• Tafuta Marafiki Wazuri
-
• Dumisha Umoja Katika Familia
-
-
9:00 Wimbo Na. 88 na Matangazo
-
9:10 “Wenye Furaha Ni Watu Ambao Mungu Wao Ni Yehova!”
-
9:55 Wimbo Na. 161 na Sala

