‘Abudu kwa Roho na Kweli’
Asubuhi
-
3:40 Muziki
-
3:50 Wimbo Na. 85 na Sala
-
4:00 “Baba Anawatafuta Watu wa Namna Hiyo”
-
4:15 Mfululizo: ‘Abudu kwa Roho’
-
• Unapojitahidi Kuelewa Mwongozo Ambao Yehova Anatoa
-
• Unapohisi Umevunjika Moyo
-
• Unapojitahidi Kufanya Mengi Zaidi Katika Utumishi wa Yehova
-
-
5:05 Wimbo Na. 88 na Matangazo
-
5:15 Jinsi ya ‘Kuifanya Kweli Iwe Wazi’
-
5:35 Ubatizo: Maana ya Ubatizo Wako
-
6:05 Wimbo Na. 51
Alasiri
-
7:20 Muziki
-
7:30 Wimbo Na. 72 na Sala
-
7:35 Hotuba ya Watu Wote: Unawezaje Kutofautisha Mema na Mabaya?
-
8:05 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:35 Wimbo Na. 56 na Matangazo
-
8:45 Mfululizo: ‘Abudu kwa Kweli’
-
• Katika Familia
-
• Katika Ulimwengu Uliogawanyika
-
• Unapokabili Hali Ngumu za Kiuchumi
-
-
9:30 “Inunue Kweli Wala Usiiuze Kamwe”
-
10:00 Wimbo Na. 29 na Sala

