PROGRAMU YA KUSANYIKO LA MZUNGUKO LA 2025-2026 LILILO NA MWANGALIZI WA MZUNGUKO

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Kiswahili
Tafuta Majibu ya Maswali Haya
/assets/ct/08c9985de2/images/syn_placeholder_sqr.png
CA-copgm26 uku. 4

Tafuta Majibu ya Maswali Haya

Tafuta Majibu ya Maswali Haya
  1. 1. Yehova anatafuta watu wa namna gani? (Yoh. 4:​23, 24)

  2. 2. Roho takatifu inawezaje kutusaidia kumpa Yehova kilicho bora? (Mdo. 16:​6-10; 1 Kor. 2:​10-13; Flp. 4:​8, 9)

  3. 3. Tunawezaje ‘kuifanya kweli iwe wazi’? (2 Kor. 4:​1, 2)

  4. 4. Kuabudu katika kweli kunahusisha nini? (Met. 24:3; Yoh. 18:​36, 37; Efe. 5:33; Ebr. 13:​5, 6, 18)

  5. 5. Tunawezaje ‘kuinunua kweli na kutoiuza kamwe’? (Met. 23:23)

© 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania

CA-copgm26-SW