AMKENI! Agosti 2013 | Unaweza Kuishi Muda Mrefu Kadiri Gani?

Watu wengi wanatumaini kwamba sayansi na teknolojia ya kitiba itavumbua mbinu ya kuwasaidia kuishi muda mrefu zaidi. Je, wanasayansi watapata siri ya uhai usio na mwisho?

Kuutazama Ulimwengu

Habari kuhusu: Malaria yarudi tena nchini Ugiriki, mama wasioolewa nchini China, wanajeshi wajiua nchini Amerika, na mengine mengi.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Kijana Wako Anapojiumiza

Vijana fulani hujiumiza kimakusudi. Ni nini kinachoweza kuwa chanzo cha tabia hiyo? Unaweza kumsaidia jinsi gani mtoto wako?

HABARI KUU

Unaweza Kuishi Muda Mrefu Kadiri Gani?

Kujua kwa nini sisi huzeeka na kufa ndio msingi wa kuelewa muda tunaoweza kuishi.

MAHOJIANO

Mtaalamu wa Magonjwa ya Mifupa Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu

Dakt. Irène Hof Laurenceau anaeleza sababu iliyomfanya awe Shahidi wa Yehova.

Je, Uamini Utatu?

Je, kanisa lako linafundisha Utatu? Je, Imani ya Nisea inakuathiri leo?

MAONI YA BIBLIA

Kileo

Ona ni kanuni zipi za Biblia zitakazokusaidia kuwa na maoni yaliyosawazika kuhusu kileo.

JE, NI KAZI YA UBUNI?

Alibatrosi Anayeruka Bila Kupoteza Nishati Nyingi

Pata kujua jinsi ndege huyu anavyopaa kwa saa nyingi bila kutua na hata bila kupiga mabawa yake!

Habari Zaidi Mtandaoni

Kwa Nini Mimi Hujikata Kimakusudi?

Kujiumiza kimakusudi ni tatizo linalowakumba vijana wengi. Kama una zoea hilo, unawezaje kupata msaada?

Wahusika Katika Biblia Walio Kama Yosefu

Pakua na uchapishe zoezi hili, na orodhesha mambo yanayofanana kati ya Yosefu na wahusika wengine watano katika Biblia.