Ufaransa
Mashahidi wa Yehova Nchini Ufaransa
-
140,797—Idadi ya Mashahidi wa Yehova
-
1,445—Makutaniko
-
228,785—Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka
-
1 kwa 492—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini
-
68,668,000—Idadi ya watu
Mahakama ya Juu Zaidi Nchini Ufaransa Yakomesha Ubaguzi
Wafungwa nchini Ufaransa wanaoomba kutembelewa na Shahidi wa Yehova wanafurahia uhuru wa kidini sawa na wafungwa wa imani nyingine.
Video Fupi: Ufaransa Yawarudishia Mashahidi wa Yehova Pesa
Mwakilishi wa Mashahidi wa Yehova anaeleza kwa nini serikali ya Ufaransa iliwarudishia Mashahidi wa Yehova zaidi ya dola milioni 8.
Ufaransa Yarudisha Pesa Ilizochukua Kutoka kwa Mashahidi wa Yehova Kinyume cha Sheria
Desemba 11, 2012, baada ya kesi iliyoendelea kwa miaka 15, serikali ya Ufaransa iliwalipa Mashahidi wa Yehova euro 6,373,987.31

