Matukio Muhimu Kihistoria Nchini Ufaransa
2014—Wahudumu wa Mashahidi wa Yehova walipewa vyeti vilivyowatambulisha rasmi kuwa wahudumu wa kidini wanaoruhusiwa kutembelea magereza, hilo lilikomesha pia ubaguzi dhidi yao ulioanzishwa na ripoti ya bunge ya mwaka wa 1995
JUNI 30, 2011—Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu ilishutumu Ufaransa kwa kukiuka uhuru wa dini wa Mashahidi wa Yehova (ATJ v. France)
2000—Baraza la Nchi lahalalisha kwamba mashirika ya kisheria ni ya kidini na hivyo hayapaswi kutozwa ushuru
1995—Tume ya uchunguzi ya Bunge ilisema vibaya juu ya Mashahidi wa Yehova na hivyo kuwaorodhesha katika ripoti yake yenye kichwa “Madhehebu Nchini Ufaransa”
1993—Baraza la Nchi lahalalisha kwamba Majumba ya Ufalme ambayo ni mali ya mashirika ya kisheria yanatumiwa tu kwa ajili ya ibada na hivyo hayapaswi kutozwa ushuru
SEPTEMBA 1947—Shirika la Les Témoins de Jéhovah lasajiliwa kisheria
OKTOBA 1939—Ufaransa yapiga marufuku shirika la Mashahidi wa Yehova
1930—Shirika la Watch Tower Society lafungua ofisi ya tawi jijini Paris
AGOSTI 27, 1919—Shirika la French International Bible Students Association laanzishwa makao makuu yakiwa jijini Paris
1906—Ufaransa yasajili rasmi shirika la kwanza la Wanafunzi wa Biblia

