HABARI

Taiwan

Kiswahili
Taiwan
/assets/ct/fa815d8e9f/images/syn_placeholder_sqr.png

Taiwan

 

Mashahidi wa Yehova Nchini Taiwan

  • 11,924—Idadi ya Mashahidi wa Yehova

  • 179—Makutaniko

  • 20,549—Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka

  • 1 kwa 1,982—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini

  • 23,396,000—Idadi ya watu

2017-10-10

TAIWAN

Programu Yenye Mafanikio ya Utumishi wa Badala wa Kiraia Nchini Taiwan

Taiwan yatoa utumishi wa badala wa kiraia kama nafasi ya wale wanaokataa kujiunga na utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri.