Rwanda
Mashahidi wa Yehova Nchini Rwanda
-
39,063—Idadi ya Mashahidi wa Yehova
-
650—Makutaniko
-
100,654—Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka
-
1 kwa 380—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini
-
14,105,000—Idadi ya watu
Serikali ya Rwanda Yadhibiti Ubaguzi wa Kidini Shuleni
Hatua ya serikali ya kulinda uhuru wa kidini wa wanafunzi ni habari njema kwa wanafunzi walio Mashahidi.
Mahakama Nchini Rwanda Yapinga Ubaguzi wa Dini
Mahakama ya Karongi imetetea haki ya uhuru wa kuabudu ya wanafunzi nane Mashahidi. Je, uamuzi huo utasaidia kukomesha ubaguzi wa dini kwenye shule zote za Rwanda?

