Hamia kwenye habari

AGOSTI 10, 2018
MAMBO MAPYA

Watchtower Library Sasa Inaweza Kupakuliwa

Watchtower Library Sasa Inaweza Kupakuliwa

Watchtower Library sasa inaweza kupakuliwa kutoka jw.org kwa ajili ya kompyuta zinazotumia Windows.

Jifunze jinsi ya kupakua Watchtower Library kwenye kompyuta yako.