Kiswahili
Programu ya JW Library Sign Language® Imeacha Kutumika
https://cms-imgp.jw-cdn.org/img/p/500800020/univ/art/500800020_univ_sqr_xl.jpg

DESEMBA 31, 2025
MAMBO MAPYA

Programu ya JW Library Sign Language® Imeacha Kutumika

Programu ya JW Library Sign Language® Imeacha Kutumika

Programu ya JW Library Sign Language imeacha kutumika na itaondolewa kwenye maktaba ya kupakua programu. Habari zote za lugha ya Ishara zilizokuwa kwenye programu hiyo sasa zinapatikana katika programu ya JW Library ambayo imeboreshwa kwa ajili ya lugha za ishara. Maboresho mengine yatafanywa wakati ujao.