Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili
  • Tel Aviv, Israeli​—Kuhubiri kwa Kirusi kwenye kijia cha ufuoni

MATUKIO YA PEKEE

Kusanyiko la Wilaya la Pekee Nchini Israel

Katika nchi ambako mizozo ya kitaifa na ya kidini imewagawanya watu kwa makumi ya miaka, watu kutoka mataifa mbalimbali walikutana kwa umoja huko Tel Aviv katika mwaka wa 2012.