Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Haiti

Taarifa Fupi—Haiti

  • 11,906,000—Idadi
  • 16,750—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 243—Makutaniko
  • 1 kwa 721—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Jitihada za Kutoa Msaada Baada ya Tufani Matthew Zinakaribia Kukamilika Nchini Haiti

Kazi ya kutoa msaada inatarajiwa kukamilika Juni 2017.

TAARIFA ZA HABARI

Serikali ya Haiti Yawapa Tuzo Mashahidi kwa Kuwasaidia Walemavu

Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Haiti imelipatia tuzo shirika la Mashahidi wa Yehova nchini Haiti liitwalo Christian Association of Jehovah’s Witnesses in Haiti kwa kutambua jitihada walizofanya kuwasaidia watu wenye ulemavu.