Taarifa Fupi—Armenia
- 3,076,000—Idadi
- 11,779—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 125—Makutaniko
- 1 kwa 267—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Jinsi Armenia Ilivyotambua Haki ya Wanaokataa Kujiunga na Jeshi kwa Sababu ya Dhamiri
Historia ya wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri nchini Armenia inaonyesha jinsi maamuzi ya Mahakama ya Ulaya yalivyotokeza mabadiliko makubwa ya matendo ya serikali dhidi ya wale wanaokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri.
TAARIFA ZA HABARI
Mashahidi wa Yehova wa Kwanza Kuandikishwa Kwenye Programu ya Utumishi wa Badala wa Kiraia Nchini Armenia Wamaliza Wajibu Wao
Mashahidi nchini Armenia wanaweza kutimiza wajibu wao serikalini kwa njia ambayo inawafanya waheshimu dhamiri zao na kuinufaisha nchi na raia wake.
TAARIFA ZA HABARI
Armenia Yawaachilia Waliofungwa kwa Sababu ya Dhamiri
Uamuzi wa kesi fulani ya kihistoria ulichangiaje kufunguliwa kwa Mashahidi hawa?

