AMKENI! Machi 2014 | Ukweli Kuhusu Simulizi la Uumbaji
Kuna tofauti kubwa kati ya yale ambayo Biblia inasema kuhusu uumbaji na jinsi watu wengi wanavyoamini.
Kuutazama Ulimwengu
Habari zinatia ndani: tetemeko la ardhi linalohusianishwa na maji yaliyochimbwa chini ya ardhi, nchi inayoongoza katika pesa zilizotumiwa na watalii, na kupigwa marufuku kwa mifuko ya plastiki.
HABARI KUU
Ukweli Kuhusu Simulizi la Uumbaji
Je, simulizi la Biblia kuhusu uumbaji linapatana na sayansi?
NCHI NA WATU
Kutembelea El Salvador
Jifunze kuhusu watu wenye urafiki wanaoishi katika “Nchi ya Volkano.”
Machozi Yako ya Ajabu
Machozi yetu hututofautisha na wanyama. Jinsi gani?
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Unapohisi Umechoshwa na Ndoa Yako
Je, unahisi uko katika kifungo cha jela badala ya kufurahia ndoa? Kuna mambo matano yanayoweza kusaidia ndoa yako.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Ngozi ya Nyoka
Ni nini kinachoifanya ngozi ya nyoka iwe imara hivi kwamba aweze kupanda kwenye miti inayokwaruza au kuchimba kwenye mchanga unaochubua?
Habari Zaidi Mtandaoni
Ninawezaje Kuacha Kuahirisha Mambo?
Pata madokezo ya jinsi unavyoweza kuacha kuahirisha mambo!
Yale Ambayo Vijana Wanasema Kuhusu Kusumbuliwa Kingono
Ona yale ambayo vijana watano wanasema kuhusu kusumbuliwa kwa njia hiyo na unachopaswa kufanya ukipatwa na hali hiyo.
Zoezi: Ni Nani Aliyesema Maneno Hayo?( Mwanzo 41-50)
Pakua zoezi hili na uone ikiwa unaweza kupatanisha majina ya watu na maneno waliyosema.

