Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

MAZOEZI YA KUJIFUNZA

Ni Nani Aliyesema Maneno haya? (Mwanzo 41-50)

Pakua zoezi hili, soma manukuu hayo matano kutoka katika Biblia, na tafuta watu waliyoyasema.

 

Habari Zaidi Katika Mkusanyo Huu

Wahusika Katika Biblia Walio Kama Yosefu

Pakua na uchapishe zoezi hili, na orodhesha mambo yanayofanana kati ya Yosefu na wahusika wengine watano katika Biblia.

Taja Wana wa Yakobo

Soma madokezo, na kisha uandike ni mwana yupi wa Yakobo unafikiri anafafanuliwa na dokezo hilo.

Imba Wimbo Kuhusu Ujasiri

Jifunze wimbo kuhusu ujasiri, kisha uimbe pamoja na familia yako.