HABARI

Marekani

Kiswahili
Marekani
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png

Marekani

 

2016-11-24

MAREKANI

Mashahidi Wakarabati Bwawa Lililojengwa Miaka 60 Iliyopita Huko Warwick

Mashahidi wa Yehova walirekebisha bwawa lililochakaa katika Msitu wa Sterling walipokuwa wakijenga makao yao makuu mapya.

2016-11-15

MAREKANI

Mashahidi Watangaza Kuuza 97 Columbia Heights

Oktoba 26, 2016, Mashahidi wa Yehova waliorodhesha jengo lao la makazi la 97 Columbia Heights, ambalo hapo awali liliitwa Hotel Margaret.

2016-08-19

MAREKANI

Mashahidi wa Yehova Wauza Majengo Yao ya Makao Makuu Yaliyoko Brooklyn

Agosti 3, 2016, Mashahidi wa Yehova waliuza rasmi majengo yao ya 25/30 Columbia Heights, Brooklyn, yaliyotumika kama makao makuu. Kuuzwa kwa majengo hayo ni hatua muhimu ili kuhamia Warwick, New York.

2016-06-28

MAREKANI

Mashahidi wa Yehova Wanauza Jengo la Kihistoria la The Towers Katika Eneo la Brooklyn

Mei 24, 2016, Mashahidi wa Yehova walitangaza rasmi kuuza majengo yao ya makazi ya The Towers, ambalo ni miongoni mwa majengo ya kihistoria katika Eneo la Kihistoria la Brooklyn Heights.

2016-06-28

MAREKANI

Mashahidi wa Yehova Wauza Jengo Katika Eneo Maarufu la Brooklyn Heights

Mashahidi wauza moja ya majengo yao ya kwanza kununua walipohamia Brooklyn miaka ya 1909.

2015-12-30

MAREKANI

Mashahidi Wakamilisha Sehemu Kubwa ya Ujenzi wa Makao Makuu Mapya

Mashahidi wanatarajia kukamilisha ujenzi wa makao yao mapya kufikia Septemba 1, 2016—miezi minne kabla ya wakati uliokuwa umepangwa.

2016-06-28

MAREKANI

Mashahidi Waanza Kuuza Majengo Brooklyn

Mashahidi wa Yehova wanauza majengo kwenye maeneo ya Dumbo na Brooklyn Heights huko Brooklyn, New York, maeneo ambayo watu wanapenda sana.

2015-05-28

MAREKANI

Mashahidi wa Yehova Waanza Makusanyiko ya “Mwigeni Yesu!” Katika Majiji 11 Nchini Marekani

Makusanyiko yataaza juma hili katika majiji ya California, Hawaii, Maine, Massachusetts, New Jersey, New York, Oregon, na Wisconsin. Makusanyiko 5,000 hivi yamepangwa kufanywa katika nchi 92 hadi Januari 2016.

2015-05-28

MAREKANI

Mashahidi wa Yehova Wafungua Ofisi ya Utafsiri ya Lugha ya Ishara ya Marekani Florida

Mashahidi wa Yehova wamehamisha kikundi cha utafsiri cha Lugha ya Ishara ya Marekani (ASL) kwenda Fort Lauderdale, Florida, Marekani, jiji lenye watu wengi kutoka mataifa mbalimbali wanaotumia ASL.

2015-07-02

MAREKANI

Dorothy Covington, Mke wa Wakili wa Hayden Covington, Afa Akiwa na Miaka 92

Dorothy aliwasaidia Hayden Covington na Victor Schmidt kutetea uhuru wa kiraia wa Mashahidi wa Yehova katika miaka ya 1940 na 1950.

2015-04-01

MAREKANI

Mashahidi Watunukiwa kwa Ujenzi Usioharibu Mazingira

Majengo mawili yaliyojengwa na Mashahidi wa Yehova katika Wallkill, New York, yalipokea vyeti vya ubora wa juu zaidi vya Four Green Globes.

2014-10-21

MAREKANI

Ripoti ya Makusanyiko ya Kimataifa: Mashahidi Wafanya Makusanyiko ya Kihistoria Kwenye Uwanja wa MetLife

Maelfu ya watu walifurika katika Uwanja wa MetLife, East Rutherford, NJ, Marekani, kwa ajili ya mfululizo wa Makusanyiko ya Kimataifa yenye kichwa “Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme wa Mungu!” Juni 20-22 na Juni 27-29, 2014.

2014-09-23

MAREKANI

Lillian Gobitas Klose, Mwanafunzi Aliyehusika Katika Kesi ya Kihistoria ya Mwaka 1940, Afa Akiwa na Miaka 90

Uamuzi wake wa kutosalimu bendera ulimfanya ahusike katika kesi ya kihistoria iliyoendeshwa na Mahakama Kuu ya Marekani.