Kamerun
Ujenzi wa Ofisi Mpya ya Tawi ya Kamerun Umeanza
Ili kwenda sambamba na utendaji unaoongezeka nchini Kamerun, Mashahidi wa Yehova wanajenga ofisi kubwa zaidi katika eneo la Logbessou jijini Douala.