Uturuki
Mashahidi wa Yehova Nchini Uturuki
-
4,615—Idadi ya Mashahidi wa Yehova
-
59—Makutaniko
-
7,447—Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka
-
1 kwa 19,716—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini
-
85,665,000—Idadi ya watu
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu Imeamuru Uturuki Itambue Majumba ya Ufalme Kuwa “Majengo ya Ibada”
Ingawa hali ya Mashahidi kutambuliwa kisheria imeboreshwa hatua kwa hatua, bado wanakabili ubaguzi wa kujenga na kutambuliwa kwa majengo yao ya ibada kuwa mahali pa ibada.
ECHR Yawaunga Mkono Watu Wanne Waliokataa Utumishi wa Kijeshi Nchini Uturuki
Uamuzi wa tatu dhidi ya Uturuki unaonyesha wazi zaidi kwamba Mkataba wa Ulaya unawalinda wale wanaokataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri na kwamba lazima nchi zinazofanyiza Baraza la Ulaya zitambue haki ya uhuru wa dhamiri.
Uturuki Haitafuata Viwango vya Ulaya Kuhusu Kukataa Utumishi wa Kijeshi kwa Sababu ya Dhamiri
Kwa nini serikali hiyo imekataa kutambua haki ya wale wanaokataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri, haki ambayo ni ya msingi kwa kila mwanadamu?
Shirika la Umoja wa Mataifa Lasema Lazima Uturuki Iheshimu Dhamiri ya Raia Wake
Soma kuhusu uamuzi muhimu uliofanywa na Umoja wa Mataifa kwamba raia wa Uturuki wana haki ya kukataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri.

