Kiswahili
News
/assets/ct/fa815d8e9f/images/syn_placeholder_sqr.png

Habari

 

2013-01-23

ARMENIA

Armenia Yaagizwa Iwalipe Fidia Mashahidi 17 wa Yehova

Mnamo Novemba 27, 2012, Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu iliamua kwamba ni lazima serikali ya Armenia ilipe fidia ya Euro 112,000 (Dola 145,226 za Marekani) kwa sababu ya kukiuka haki ya watu 17 waliokataa utumishi wa kijeshi kwa sababu ya dhamiri yao.

2013-01-09

KOREA KUSINI

Mashahidi wa Yehova Waadhimisha Miaka 100 Nchini Korea Kusini

SEOUL, Korea—Novemba 2012 ni mwezi wa pekee kwa Mashahidi wa Yehova zaidi ya 100,000 nchini Korea Kusini kwa kuwa wanaadhimisha mwaka wao wa 100 nchini humo.

2019-01-19

MAREKANI

Tufani Sandy Yapiga Eneo la Pwani ya Mashariki ya Marekani

NEW YORK—Mnamo Oktoba 29, 2012, Tufani Sandy ilisababisha uharibifu mkubwa katika maeneo mengi yaliyo katika mwambao wa Pwani ya Mashariki ya Marekani.

2019-01-19

Austria Yaamrishwa Iwalipe Fidia Mashahidi wa Yehova kwa Sababu ya Ubaguzi

Mnamo Septemba 25, 2012, Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu ilifikia mkataa kwamba serikali ya Austria ilikuwa na hatia ya kuwabagua Mashahidi wa Yehova.

2014-01-24

UKRAINIA

Maamuzi ya Haki Yatolewa Nchini Ukrainia

Mahakama Kuu ya Ukrania ilizuia jaribio lisilo la haki la watu waliotaka kunyakua uwanja ambao ni mali halali ya Mashahidi wa Yehova

2019-01-19

MAREKANI

Video Fupi: Mashahidi wa Yehova katika Manhattan

Kikundi cha Mashahidi wa Yehova kimeweka meza zinazoonyesha machapisho ya lugha mbalimbali yanayozungumzia Biblia katika Manhattan, New York. Watu wameitikiaje?

2012-06-26

JAPANI

Japani—Kuanza Upya Mwaka Mmoja Baadaye!

Mashahidi wa Yehova wanaendelea kutoa msaada kwa waokokaji wa tetemeko la ardhi.