Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Eswatini

  • Ntabamhloshana, Eswatini​—Kujifunza Biblia kwa kutumia Lugha ya Ishara ya Afrika Kusini

Taarifa Fupi—Eswatini

  • 1,256,000—Idadi
  • 3,519—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 74—Makutaniko
  • 1 kwa 366—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Mfalme Alifurahi Sana!

Soma kuhusu jinsi mfalme wa Swaziland alivyothamini kujifunza kweli za Biblia.