Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Polandi

  • Old Town, Gdańsk, Poland—Kutoa gazeti la Mnara wa Mlinzi

Taarifa Fupi—Polandi

  • 37,412,000—Idadi
  • 113,987—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,263—Makutaniko
  • 1 kwa 329—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Kupeleka Msaada Licha ya “Vita na Habari za Vita”

Ndugu zetu nchini Ukrainia wanapataje msaada ingawa vita vinaendelea? Na wanahisije kupokea msaada huo?