Taarifa Fupi—Mali
- 25,199,000—Idadi
- 366—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 6—Makutaniko
- 1 kwa 73,897—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
MASIMULIZI YA MAISHA
Josette Garcia: Kuhubiri kwa Zaidi ya Miaka 40 Katika Mojawapo ya Nchi Zenye Joto Zaidi Ulimwenguni
Maisha nchini Mali hayakuwa rahisi kwa Josette. Lakini alipata shangwe alipotumikia huko kwa miaka mingi akiwa painia wa pekee na kisha mmishonari.

