Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Guadeloupe

Taarifa Fupi—Guadeloupe

  • 396,000—Idadi
  • 8,488—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 118—Makutaniko
  • 1 kwa 47—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Waharakisha Jitihada za Kutoa Msaada

Ofisi za tawi za Mashahidi wa Yehova zinatoa ripoti kuhusu kazi inayoendelea ya kutoa msaada na faraja ya kiroho kwa wale walioathiriwa na Vimbunga Irma na Maria.