HABARI

Urusi

Kiswahili
Urusi
/assets/ct/28ada02fb0/images/syn_placeholder_sqr.png

Urusi

 

2018-07-13

URUSI

Mahojiano: Dada Watano Wakumbuka Jinsi Polisi Walivyovamia Eneo la Ufa, Urusi

Wachunguzi na kikosi cha polisi maalum wakiwa wamebeba silaha, walivamia na kupekua nyumba kadhaa za Mashahidi wa Yehova. Wanawake watano Wakristo wanasimulia jinsi uvamizi huo ulivyowaathiri wao binafsi.

2018-07-13

URUSI

Mashahidi Zaidi Wafungwa Baada ya Uvamizi Mbaya wa Nyumba Nchini Urusi

Wenye mamlaka nchini Urusi wameendeleza kampeni yao ya kuwatisha, kuwakamata na kuwafunga Mashahidi kwa kushiriki utendaji wa imani yao.

2018-07-13

URUSI

Urusi Yataifisha Ofisi ya Tawi

Kabla ya kusikilizwa kwa rufaa hiyo, mwandishi wa habari, mtaalamu wa kidini, na mawakili wawili Mashahidi walifunua kwamba huo ni ukosefu wa haki wa nchi ya Urusi kutaifisha iliyokuwa ofisi ya tawi.

2018-06-11

URUSI

Shahidi Mwingine wa Yehova Nchini Urusi Ashtakiwa kwa Madai ya Kuwa na Msimamo Mkali

Arkadya Akopyan, Shahidi mwenye umri wa miaka 70 ambaye amestaafu kazi ya kushona nguo, ni raia mnyoofu, anayetii sheria ambaye anataka kumwabudu Mungu kwa amani.