Marekani
Mashahidi wa Yehova Wauza Majengo ya Kihistoria, The Towers
Mashahidi wa Yehova wameuza jengo lingine muhimu lililo Brooklyn, New York.
Video ya Mashahidi Yasaidia Wazazi Kushughulikia Tatizo Linalokumba Nchi la Unyanyasaji
‘Mshinde Mnyanyasaji Bila Kutumia Ngumi’ ni video fupi iliyotolewa na Mashahidi wa Yehova. Ina mawaidha yanayofaa ya kushughulika na vijana wanaonyanyaswa.
Mashahidi Nchini Marekani Wanakabiliana na Kimbunga Harvey
Maelfu ya Mashahidi wa Yehova walioathiriwa na dhoruba wanapata msaada kupitia kamati za kutoa msaada.
Siku ya Wageni Warwick: Mahojiano na Ingrid Magar
‘Nimefurahia ujenzi wa eneo la Warwick. Ni eneo maridadi na mmeliboresha. Ni pendeleo kubwa kuwa na majirani kama ninyi.’
Warwick Open House: Interview With William Hoppe
‘The conditions everywhere were extremely clean and the Warwick project was one of the safest projects I’ve ever worked on.’
Siku ya Wageni Katika Makao Makuu Mapya ya Mashahidi Ilifurahiwa na Jamii
Mambo yenye kupendeza yanatia ndani watu wengi zaidi kuhudhuria siku ya pili na maoni ya majirani kuhusu majengo yaliyokamilika.
Mashahidi Wakamilisha Mkataba wa Kuuza 107 Columbia Heights, Makao Makuu ya Zamani Mjini Brooklyn
Mashahidi wa Yehova waliofanya kazi kwenye makao makuu wametumia makao hayo kwa miaka zaidi ya 50.
Watu 400 Hivi Watembelea Makao Makuu ya Mashahidi wa Yehova Wakati wa Siku ya Wageni
Mashahidi wa Yehova walikuwa na siku ya kwanza ya wageni kati ya siku mbili ambazo watatumia kuwashukuru majirani na wengine waliounga mkono ujenzi wa makao makuu mapya.
Shirika la GBI Latoa Tuzo la Juu Zaidi kwa Sababu ya Majengo Yasiyoharibu Mazingira ya Makao Makuu ya Mashahidi
Shirika la Majengo Yasiyoharibu Mazingira (GBI) liliwapa Mashahidi wa Yehova tuzo la juu zaidi la Four Green Globes kwa sababu ya majengo 7 mapya yaliyoko Warwick, New York.

