India
Mashahidi wa Yehova Nchini India
-
60,977—Idadi ya Mashahidi wa Yehova
-
1,010—Makutaniko
-
156,509—Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo unaofanywa kila mwaka
-
1 kwa 24,275—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi ya watu nchini
-
1,463,866,000—Idadi ya watu
Kesi ya Kihistoria ya India Yatetea Uhuru wa Kusema kwa Karibu Miaka 30
Kesi maarufu ya Bijoe Emmanuel dhidi ya Jimbo la Kerala, inayohusu Mashahidi wa Yehova na wimbo wa taifa, imelinda haki za kibinadamu za raia wote wa India.

