Urusi

 

2025-09-15

URUSI

Hatupaswi Kuogopa Mnyanyaso

Wakati wa mkutano wa kila mwaka wa 2019, Ndugu Mark Sanderson wa Baraza Linaloongoza alitoa hotuba yenye kichwa “Tunapaswa Kuogopa Nini?” Hotuba hiyo ilitia ndani kisehemu hiki cha video iliyo na masimulizi kutoka kwa baadhi ya ndugu na dada ambao wameteswa nchini Urusi.

2024-08-22

URUSI

Mahojiano Pamoja na Ndugu Dmitriy Mikhaylov

Ndugu Mikhaylov alikamatwa Mei 29, 2018. Alikaa kizuizini kwa miezi kadhaa. Katika mahojiano, anasimulia jinsi alivyovumilia kwa msaada wa Yehova, na pia wa mke wake mwaminifu. Pia anaeleza jinsi kuwaeleza wafungwa wengine kweli za Biblia kulivyomsaidia kudumisha amani na shangwe yake.