Matineja
Baadhi ya majina ya watu walionukuliwa katika makala hizi yamebadilishwa.
Kujitambua
Vijana Wenzako Wanasema Nini
Huenda ukawa unakabili hali ambazo hujawahi kukabiliana nazo. Ona jinsi vijana wenzako wanavyozishughulikia.
Vibonzo Kwenye Ubao
Je, umewahi kujikuta katika hali ngumu sana kushughulika nazo? Ikiwa ndivyo, video hizi fupi zinaweza kukusaidia kukabiliana na matatizo ambayo vijana hukabili kwa ukawaida.
Daftari kwa Ajili ya Matineja
Daftari hizi zitakusaidia kuandika mawazo yako na kujitayarisha kwa ajili ya hali halisi maishani.

