Ona video zinazopatikana

Ona habari zilizo ndani

 UTAJIRI WA NENO LA MUNGU | NEHEMIA 1-4

Nehemia Alipenda Ibada ya Kweli

Nehemia Alipenda Ibada ya Kweli
ANGALIA

455 M.K.Y.

 1. Nisani (Mwezi wa 3/ Mwezi wa 4)

  2:4-6 Nehemia anaomba ruhusa ya kujenga upya Yerusalemu, mahali pa kufanyia ibada ya kweli katika siku zake

 2. Iyari

 3. Sivani

 4. Tamuzi (Mwezi wa 6/Mwezi wa 7)

 5. 2:11-15 Nehemia anafika Yerusalemu wakati huu na anachunguza ukuta wa muji

 6. Abi (Mwezi wa 7/Mwezi wa 8)

  3:1; 4:7-9 Kazi ya kujenga inaanza hata kama kulikuwa wapinzani

 7. Eluli (Mwezi wa 8/Mwezi wa 9)

 8. 6:15 Kisha siku 52, ukuta ulimalizika

 9. Tishri