Kiswahili
Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na STREAM.JW.ORG
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png

Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na STREAM.JW.ORG

Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na STREAM.JW.ORG

Kuna aina mbalimbali za vidakuzi vinavyofanya kazi mbalimbali na vinaboresha matumizi yako ya tovuti hii. Ifuatayo ni mifano kadhaa ya jinsi tunavyotumia vidakuzi na teknolojia sawa.

Jina la Kidakuzi

Kusudi

Muda a

Aina

sessionstream

Zinatusaidia kutambulisha watumiaji rasmi.

Saa 5

Kwa Muda Unaohitajiwa tu

XSRF-TOKEN

Zinatulinda dhidi ya mashambulizi kutoka tovuti nyingine.

Saa 5

Muda Unaohitajiwa tu

_pk_id.${rand}.${rand}, pk_ref.${rand}.${rand}, _pk_ses.${rand}.${rand}

Zinatumiwa kukusanya habari ya jinsi mtu anavyotumia tovuti hii. Habari hizo zinatumiwa kutokeza ripoti na kuboresha tovuti. Habari hizo zinatia ndani majina anayotumia mtu na kivinjari na kifaa anachotumia (browser) na kifaa anachotumia, eneo alilokuwa alipotembelea tovuti, mara ambazo ameitembelea au sehemu ya tovuti aliyotembelea, na ameitembelea kwa muda gani.

Mwaka 1

Uchunguzi

ngStorage-language

Zinamruhusu mtu kutembelea tovuti katika lugha aliyochagua awali kwenye https://stream.jw.org/.

Habari zinazohifadhiwa kwa muda mrefu (kwenye kifaa)

Jinsi kinavyotenda

pusherTransportEncrypted

Zinamruhusu mtu kupokea habari mara moja anapotumia tovuti hiyo.

Habari zinazohifadhiwa kwa muda mrefu (kwenye kifaa)

Jinsi kinavyotenda

Ofisi kadhaa

Zinamruhusu msimamizi kudhibiti habari zinazotumiwa na ofisi anazosimamia.

Habari zinazohifadhiwa kwa muda mrefu (kwenye kifaa)

Jinsi kinavyotenda

mshiriki

Zinatumiwa kuhifadhi habari kuhusu mtumiaji katika kivinjari chake ili zionekane bila kuziingiza mara nyingi.

Habari zinazohifadhiwa kwa muda mrefu (kwenye kifaa)

Jinsi kinavyotenda

ngStorage-username

Zinamruhusu mtu kuona jina lake anapofungua sehemu ya Ingia baada ya kuitumia. Sehemu hii inaonekana tu ikiwa mtumiaji atachagua ionekane.

Habari zinazohifadhiwa kwa muda mrefu (kwenye kifaa)

Jinsi kinavyotenda

ngStorage-token

Zinamruhusu mtu kufungua sehemu alizofungua kwa kupata mwaliko.

Habari zinazohifadhiwa kwa muda mrefu (kwenye kifaa)

Jinsi kinavyotenda

ngStorage-viewType

Zinamruhusu mtu kufungua ukurasa wa tovuti katika orodha kulingana na jinsi alivyochagua awali.

Habari zinazohifadhiwa kwa muda mrefu (kwenye kifaa)

Jinsi kinavyotenda

Ona pia Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na Tovuti Zetu..

a Habari zinapotajwa kuwa za “Muda Mrefu (kwenye kifaa)”, hilo linamaanisha kinahifadhiwa katika kivinjari badala ya kama kidakuzi. Habari zinazohifadhiwa katika njia hiyo zinabaki kwa muda wote isipokuwa mtumiaji afute habari kwenye kivinjari chake.