Hamia kwenye habari

Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na JWEVENT.ORG

Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na JWEVENT.ORG

Kuna aina mbalimbali za vidakuzi vinavyofanya kazi mbalimbali na vinaboresha matumizi yako ya tovuti hii. Ifuatayo ni mifano kadhaa ya jinsi tunavyotumia vidakuzi na teknolojia sawa.

Jina la Kidakuzi

Kusudi

Muda

Aina

delidno

Zinamruhusu mtu kufungua tovuti kwa njia aliyotumia mara ya mwisho.

Mwaka 1

Jinsi kinavyotenda

cnvlang

Zinamruhusu mtu kutumia lugha aliyochagua awali alipoingia kwenye tovuti ya https://jwevent.org/.

Mwaka 1

Jinsi kinavyotenda

Ona pia Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na Tovuti Zetu Mbalimbali.