Hamia kwenye habari

Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na WWW.JW.ORG

Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na WWW.JW.ORG

Kuna aina mbalimbali za vidakuzi vinavyofanya kazi mbalimbali na vinaboresha matumizi yako ya tovuti hii. Ifuatayo ni mifano kadhaa ya jinsi tunavyotumia vidakuzi na teknolojia sawa.

Jina la Kidakuzi

Kusudi

Muda a

Aina

insight-${featureID}-usageInfo

Kinatumiwa kukusanya habari ya jinsi mtu anavyotumia tovuti hii. Habari hizo zinatumiwa kuandaa ripoti na pia kuboresha tovuti. Habari za kibinafsi hazikusanywi. Habari zinazokusanywa zinatia ndani jina la kivinjari (browser) na jina la kifaa anachotumia mtu, eneo alilokuwa alipotembelea tovuti, ametembelea tovuti au sehemu fulani ya tovuti mara ngapi, na imekuwa wazi kwa muda gani.

Muda Mrefu (kwenye kifaa)

Uchunguzi

ckLang

Kinamwezesha mtu kutembelea tovuti katika lugha aliyochagua awali https://www.jw.org/.

Mwaka 1

Jinsi Kinavyotenda

userPref-${featureID}

Kinamwezesha mtu kuingia sehemu aliyotumia hapo awali alipotembelea tovuti.

Muda Mrefu (kwenye kifaa)

Jinsi Kinavyotenda

insight-${featureID}-strictlyNecessary

Kinatumiwa kukusanya habari ya jinsi mtu yeyote anavyotumia tovuti hii, na habari hizo ni muhimu ili kudumisha usalama na uendeshaji wa tovuti hii.

Muda Mrefu (kwenye kifaa)

Muhimu Sana

Ona pia Vidakuzi na Teknolojia Sawa Zinazotumiwa na Tovuti Zetu Mbalimbali.

a Habari zinapotajwa kuwa za “Muda Mrefu (kwenye kifaa)”, hilo linamaanisha zinahifadhiwa katika kivinjari badala ya kuhifadhiwa kama kidakuzi. Habari zinazohifadhiwa katika njia hiyo zinabaki kwa muda wote isipokuwa mtumiaji afute habari kwenye kivinjari chake.