Hamia kwenye habari

Mei 17, 2017
MAMBO MAPYA

Sehemu ya Tafuta Mambo Mbalimbali Imeongezwa Kwenye JW Broadcasting

Sehemu ya Tafuta Mambo Mbalimbali Imeongezwa Kwenye JW Broadcasting

Sasa unaweza kutafuta mambo mbalimbali kwenye JW Broadcasting, mtandaoni au kupitia Amazon Fire TV. Sehemu hii itaongezwa baadaye kwenye matoleo ya JW Broadcasting yanayoonyeshwa kupitia Roku na Apple TV. Tazama kwenye mtandao mwongozo wa jinsi ya kutumia sehemu ya tafuta.