Hamia kwenye habari

Mashahidi wa Yehova

Chagua lugha Kiswahili

FEBRUARI 5, 2016
MAMBO MAPYA

Mwimbieni Yehova—Wimbo Na. 146 Hadi 150 Sasa Zinapatikana Mtandaoni

Mwimbieni Yehova—Wimbo Na. 146 Hadi 150 Sasa Zinapatikana Mtandaoni

Nyimbo tano mpya ambazo ni sehemu ya kitabu Mwimbieni Yehova sasa zinapatikana kwenye jw.org.

  • 146—“Mlinitendea Mimi”

  • 147—“Mali ya Pekee”

  • 148—“Ulitoa Mwana Wako Mzaliwa-Pekee”

  • 149—“Tunathamini Fidia”

  • 150—“Tumejitoa Kutumikia”