Hamia kwenye habari

SEPTEMBA 3, 2018
MAMBO MAPYA

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Imetolewa Katika Lugha ya Ishara ya Afrika Kusini

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Imetolewa Katika Lugha ya Ishara ya Afrika Kusini

Kitabu cha Mathayo katika Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya kilitolewa katika Lugha ya Ishara ya Afrika Kusini Agosti 31, 2018, jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetafsiriwa ikiwa nzima au kwa sehemu katika lugha 170.