Hamia kwenye habari

Hamia kwenye menyu ya pili

Mashahidi wa Yehova

Kiswahili

SEPTEMBA 26, 2016
MAMBO MAPYA

Machapisho ya MOBI Yaacha Kutolewa

Machapisho ya MOBI Yaacha Kutolewa

Kuanzia Oktoba 3, 2016, machapisho aina ya MOBI hayatapatikana tena kwenye jw.org. Ikiwa unatumia kifaa cha Amazon Kindle, unaweza kujipatia machapisho kupitia mojawapo ya njia zifuatazo:

  • Pakua machapisho katika programu ya JW Library. Hii ni programu inayotolewa bila malipo na unaweza kuipata kwenye Amazon Appstore.

  • Pakua machapisho aina ya PDF kutoka kwenye jw.org. Ikiwa kwa sasa umejiandikisha kwenye podcast ili upate Mnara wa Mlinzi au Amkeni! aina ya MOBI, huenda ikafaa kujiandikisha upya ili upate machapisho ya PDF. Tumia kiunganishi cha PODCAST kilicho kwenye ukurasa wa MACHAPISHO > MAGAZETI.