Hamia kwenye habari

APRILI 21, 2017
MAMBO MAPYA

Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Urusi—Video

Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Urusi—Video

Aprili 20, 2017, Mahakama Kuu ya Shirikisho la Urusi ilitoa uamuzi dhidi ya Mashahidi wa Yehova na kuunga mkono dai lililowasilishwa na Wizara ya Haki la kufunga Kituo cha Usimamizi cha Mashahidi wa Yehova. Mashahidi wanapanga kukata rufaa.

Habari zaidi kuhusu uamuzi huo na itikio la Baraza Linaloongoza la Mashahidi wa Yehova zinapatikana katika video iliyo kwenye JW Broadcasting.