Kiswahili
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Imetolewa Katika Lugha ya Ishara ya Ekuado na Lugha ya Nepali
/assets/ct/79e1b14fff/images/syn_placeholder_sqr.png

MEI 21, 2018
MAMBO MAPYA

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Imetolewa Katika Lugha ya Ishara ya Ekuado na Lugha ya Nepali

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Imetolewa Katika Lugha ya Ishara ya Ekuado na Lugha ya Nepali

Kitabu cha Mathayo cha Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya kilitolewa katika Lugha ya Ishara ya Ekuado Mei 19, 2018, katika eneo la Guayaquil, Ekuado. Siku moja kabla, katika eneo la Kathmandu, Nepal, Biblia nzima ya Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ilitolewa katika Kinepali. Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetafsiriwa ikiwa nzima au sehemu katika lugha 166.