Hamia kwenye habari

OKTOBA 9, 2019
MAMBO MAPYA

Tovuti za JW Broadcasting na JW.ORG zimeunganishwa

Tovuti za JW Broadcasting na JW.ORG zimeunganishwa

Tovuti ya JW Broadcasting (tv.jw.org) imeunganishwa na tovuti ya jw.org.

Sehemu ya machapisho ya jw.org imebadilishwa jina na kuitwa Maktaba, kwa kuwa sasa inatia ndani rekodi za sauti na video pia. Video zote—kutia ndani zile ambazo zilikuwa zikipatikana kwenye tovuti ya tv.jw.org—sasa zinapatikana kwenye tovuti ya jw.org kwenye sehemu ya MAKTABA > VIDEO.

Kwanzia sasa hakutakuwa na sehemu ya Streaming, kama ilivyokuwa hapo awali kwenye tovuti ya tv.jw.org. Badala yake, kila mkusanyiko wa video utakuwa na sehemu ya Stream This Channel. Unaweza kubofya sehemu hii ili kucheza video zote zilizo kwenye mkusanyiko huo bila mpangilio.

OnaVideo zilizo kwenye sehemu ya jw.org.