Hamia kwenye habari

AGOSTI 19, 2019
MAMBO MAPYA

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Imetolewa katika Kiguarani, Kikwanyama, na Kilaotiani

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Imetolewa katika Kiguarani, Kikwanyama, na Kilaotiani

Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ilitolewa katika Kiguarani Agosti 16, 2019, huko Asunción, nchini Paraguai. Siku hiyohiyo, Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo ilitolewa katika Kikwanyama, lugha ya eneo la Ongwediva, nchini Namibia, na ilitolewa katika Kilaotiani lugha ya eneo la Nong Khai, nchini Thailand. Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetafsiriwa ikiwa nzima au kwa sehemu katika lugha 184.